Aina Bora 19 za Mbegu za Mihogo
Zaidi ya aina 45 za mbegu za mihogo zinajulikana hapa nchini. Zaidi ya 80% ya mihogo ni ya asili. Hivyo wakulima wengi hawatumii mbegu bora za mihogo.
Zaidi ya aina 45 za mbegu za mihogo zinajulikana hapa nchini. Zaidi ya 80% ya mihogo ni ya asili. Hivyo wakulima wengi hawatumii mbegu bora za mihogo.
Kabla ya kupanda, mbegu ya mpunga inatakiwa kuandaliwa vizuri ili kuirahisishia kuota kwa kiwango kizuri ili mkulima apate miche bora ya kupandikiza baadae.
Ndugu mkulima, ili ufanye kilimo bora na cha kisasa cha mahindi, Mogriculture Tz inakuasa kuachana na matumizi ya mbegu za kienyeji, kwani mbegu za kienyeji zina mavuno madogo sana na…
Hizi ni aina mpya za mbegu za mazao ya mahindi, mpunga, alizeti, karanga na chai. Kutokana na ubora wake mbegu hizi zitaongeza tija na kipato kwa mkulima.