Ushauri Kilimo: Kutembelea shambani
Sh 50,000
Huduma ya Kutembelea shambani ni kwa ajili yako wewe mkulima unayehitaji msaada wa kiutafiti shambani kwako. Unaweza kuwa unafanya maandalizi ya kulima shamba au kuna mazao tayari yanaendelea kukua. Lengo hapa ni kupata msaada kulingana na hali ya shamba au mazao yako kwa wakati huo.
Description
Karibu kwenye Ushauri Kilimo na kutembelea mashamba.
Huduma ya Kutembelea shambani ni kwa ajili yako wewe mkulima unayehitaji msaada wa kiutafiti shambani kwako. Unaweza kuwa unafanya maandalizi ya kulima shamba au kuna mazao tayari yanaendelea kukua. Lengo hapa ni kupata msaada kulingana na hali ya shamba au mazao yako kwa wakati huo.
- Katika huduma hii kuna gharama mbili: gharama ya huduma (service fee) na usafiri (transport fee).
- Gharama utakayoilipia hapa ni ya service fee.
- Baada ya gharama ya huduma, utapigiwa simu kujua mahali lilipo shamba lako na kupanga taratibu za kufika huko.
- Utatakiwa kugharamia usafiri wa mtaalam wetu kuja na kurudi shambani kwako.
- NB: Kwa sasa, huduma hii ni kwa wakulima wa mikoa ya Morogoro, Tanga, Pwani na Dodoma.