Ushauri Kilimo: Msimu mzima

Sh 250,000

Huduma ya Ushauri Kilimo kwa Msimu mzima ni kwa ajili yako mkulima unayehitaji bwana shamba wa kukuongoza katika shughuri mbalimbali za kilimo kwa msimu mzima wa uzalishaji. Licha ya kuwa usimamizi wa shamba ni juu yako mkulima, jukumu letu kama wataalam wa kilimo ni kukuongoza kwa kufuata kanuni na miongozo ya kilimo bora.

SKU: USK003 Category:

Description

Karibu kwenye Ushauri Kilimo wa Msimu mzima wa uzalishaji.

Huduma ya Ushauri Kilimo kwa Msimu mzima ni kwa ajili yako mkulima unayehitaji bwana shamba wa kukuongoza katika shughuri mbalimbali za kilimo kwa msimu mzima wa uzalishaji. Licha ya kuwa usimamizi wa shamba ni juu yako mkulima, jukumu letu kama wataalam wa kilimo ni kukuongoza kwa kufuata kanuni na miongozo ya kilimo bora.

Tutashauruiana katika kila hatua na kila kipengele cha uzalishaji wa mazao yako mpaka utakapovuna.

  1. Katika huduma hii kuna gharama mbili: Gharama ya huduma (service fee) na Usafiri kwenda na kurudi (kutoka) shambani
  2. Gharama utakayoilipia hapa ni ya service fee.
  3. Baada ya gharama ya huduma, utapigiwa simu kujua mahali lilipo shamba lako na kupanga taratibu za kufika huko.
  4. Utatakiwa kugharamia usafiri wa mtaalam wetu kuja na kurudi shambani kwako.
  5. NB: Kwa sasa, huduma hii ni kwa wakulima wa mikoa ya Morogoro, Tanga, Pwani na Dodoma.