Ushauri Kilimo Online
Sh 5,000
Huduma ya Ushauri kilimo Online ni kwa ajili yako wewe mkulima unayehitaji msaada wa kitaalam kuhusu kilimo. Huduma hii itakuwezesha wewe kuongea na wataalam wetu na kupata ushauri wa kitaalam kuhusu suala lako. Mazungumzo yatafanyika kwa njia ya simu kwa muda usiozidi nusu saa, yaani dakika 30.
Description
Changamoto kwenye kilimo sio kitu cha ajabu, na kimsingi utatuzi wake ndio mafanikio yako shambani.
Huduma ya Ushauri kilimo Online ni kwa ajili yako wewe mkulima unayehitaji msaada wa kitaalam kuhusu kilimo. Uwe mkulima mzoefu au mgeni unataka ushauri wa nini cha kufanya, tuna suluhu ya changamoto zako.
- Huduma hii itakuwezesha wewe kuongea na wataalam wetu na kupata ushauri wa kitaalam kuhusu suala lako.
- Mazungumzo yatafanyika kwa njia ya simu kwa muda usiozidi nusu saa, yaani dakika 30.
- Kwa mashauriano yanayohitaji muda zaidi ya nusu saa, gharama ya ziada italipwa kwa kila nyongeza ya muda itakayohitajika.




