WhatsApp Group
WHATSAPP GROUP
Jiunge na familia yote ya Mogriculture sasa ndani ya Group la WhatsApp.
Huduma
Pamoja na kufanya mijadala ndani ya group, utanufaika na huduma zifuatazo:
- Kitabu kimoja cha Mwongozo kila mwezi BUREE, chenye thamani ya TZS 10,000.
- Kitabu kimoja cha Kilimo Bora kila mwezi BUREE, chenye thamani ya TZS 2,500.
- Punguzo la bei za vitabu la 20%. Vitabu vya kilimo bora kwa TZS 1,999 tu na Miongozo kwa TZS 7,999 tu
Gharama
Ili kujiunga na group letu, tafadhali lipia TZS 2500 tu kwa MWEZI. Gharama hii inajirudia kila mwezi.
- Ukitaka kulipia miezi miwili kwa wakati mmoja, lipia TZS 4000 tu.
- Ukitaka kulipia miezi mitatu kwa wakati mmoja, lipia TZS 6000 tu.
- Ukitaka kulipia zaidi ya miezi mitatu kwa wakati mmoja, gharama yako kwa mwezi itakuwa TZS 1,999 tu.
Jinsi ya Kujiunga
0655 570 084 (Mohamed Mtalula)
Fanya malipo kwenda tigopesa namba tajwa hapo juu. Kisha wasiliana nami kwa namba hiyo hiyo ili kuunganishwa kwenye group.
Group hili linasimamiwa na kuhaririwa na waendeshaji wa Mogriculture.com, hivyo tegemea ustaarabu na utaalamu wa hali ya juu.
