Category Jamii ya Mikunde

Mwongozo kamili wa kilimo cha mazao ya jamii ya mikunde kama maharage, kunde, mbaazi, njegere, choroko, na soya. Boresha afya ya udongo na ongeza mavuno kwa mbinu bora za kitaalamu.

Kilimo Bora Cha Karanga

karanga-za-mapodo

Utangulizi Karanga ni mojawapo ya mazao yanayotoa mafuta. Katika Tanzania zao hili hustawi zaid katika mikoa ya Kusini Mashariki, Dodoma na Morogoro. Pamoja na kutoa mafuta vile vile zao hutumika kwa njia nyingine mbali mbali, nazo ni pamoja na: Chakula…