Skip to content
Mogriculture Tz
  • Home
  • Services
  • About
  • News
  • Contact
Book a Consultation
  • Home
  • Services
  • About
  • News
  • Contact
shamba-la-pilipili-mwendokasi-zilizokomaa
  • Mboga mboga na matunda

Kilimo cha Pilipili Mwendokasi Tanzania: mbinu bora, faida kubwa

Kilimo cha Pilipili mwendokasi kimejipatia umaarufu mkubwa sana hivi karibuni. Hata hivyo wakulima wengi hawajui mbinu za kitaalam za uzalishaji wake ili wapate faida.

Mkulima mwenye furaha baada ya kuvuna mazao yake bila ya kutumia viuatilifu hatarishi vilivyopigwa marufuku
  • Kilimo Bora, Viuatilifu

Viuatilifu Hatarishi Vilivyopigwa Marufuku Tanzania 2026: Maamuzi ya TPHPA na Athari kwa Wakulima

TPHPA yaondoa na kupiga marufuku viuatilifu hatarishi kwenye soko la Tanzania kuanzia 2026. Fahamu misingi, dawa zilizoondolewa na athari zake kwa wakulima.

kilimo cha kabichi kichwa kimekomaa
  • Mboga mboga na matunda, Kilimo Bora

Jinsi ya kulima kabichi (cabbage) kwa mafanikio

Ni rahisi kulima kabichi na ina mzunguko mfupi wa ukuaji, kwa kawaida hukomaa ndani ya miezi 3 hadi 4, na kuifanya kuwa chaguo la kuvutia kwa wakulima wanaotafuta faida ya haraka kwenye uwekezaji.

vitunguu saumu vizima na punje zake baada ya kuvunjwa 02
  • Kilimo Biashara, Mazao ya Viungo

Kilimo cha vitunguu saumu Tanzania: Uzalishaji, Masoko na Faida

Kilimo cha vitunguu saumu nchini Tanzania kinapata umaarufu kwa kasi kama biashara ya kilimo yenye matumaini, kutokana na ongezeko kubwa la mahitaji ya ndani na katika soko la kimataifa.

Uvunaji wa viazi mviringo
  • Kilimo Biashara, Mazao ya Mizizi

Kilimo cha Viazi mviringo na Faida zake kwa Wakulima Tanzania

Viazi mviringo ni miongoni mwa mazao makuu kumi ya chakula nchini Tanzania, na ni zao la tatu baada ya mahindi na mpunga kiuzalishaji. Kiasi kikubwa cha viazi mviringo kinazalishwa katika ukanda wa nyanda za juu kusini unaojumuisha mikoa ya; Njombe, Mbeya, Songwe na Iringa.

Kumwagilia mbolea vunde [mboji]
  • Mbolea

Mbolea vunde [Mboji]: Jinsi ya kutengeneza, matumizi na faida zake

Mbolea vunde [mboji] ni aina ya mbolea ya asili yenye rangi nyeusi na harufu nzuri ya kidongo ambayo hutokana na kuoza kwa mchanganyiko wa masalia ya mimea kunakosababishwa na vijidudu na wadudu rafiki wa mazao. Hii inaweza kutengenezwa kwa urahisi sana nyumbani.

Kanuni za kilimo bora Tanzania
  • Mboga mboga na matunda, Kilimo Biashara, Kilimo Bora

Kanuni 12 za kilimo bora chenye tija Tanzania

Kanuni za kilimo bora ni seti ya miongozo au taratibu za kisayansi zilizofanyiwa majaribio kwa muda mrefu na ambazo zimekubalika zitumike katika kuboresha uzalishaji wa mazao. Kanuni za kilimo bora ni muhimu sana katika kuhakikisha kilimo kinakuwa na tija na kusaidia kuboresha maisha ya wakulima na jamii kwa ujumla.

Bamia aina ya clemson spineless
  • Mboga mboga na matunda

Kilimo cha Bamia: Muongozo wa mafanikio

Bamia ni zao linalolimwa katika maeneo mengi nchini kutokana na umuhimu wake kwenye lishe na kuongeza kipato. Baadhi ya maeneo yanayolima zao la bamia kwa Tanzania ni pamoja na mikoa ya Morogoro, Dodoma, Tabora, Pwani na Mbeya.

mvua za vuli 2019
  • Hali ya Hewa

Utabiri wa Mvua za Vuli na Mvua za Msimu

Katika msimu wa mvua za vuli 2019, maeneo mengi ya nyanda za juu kaskazini mashariki pamoja na pwani ya kaskazini yanatarajiwa kuwa na mvua za wastani hadi...

1 2 3 4 … 7
Next
Latest Posts
  • shamba-la-pilipili-mwendokasi-zilizokomaa
    Kilimo cha Pilipili Mwendokasi Tanzania: mbinu bora, faida kubwa
  • Mkulima mwenye furaha baada ya kuvuna mazao yake bila ya kutumia viuatilifu hatarishi vilivyopigwa marufuku
    Viuatilifu Hatarishi Vilivyopigwa Marufuku Tanzania 2026: Maamuzi ya TPHPA na Athari kwa Wakulima
  • kilimo cha kabichi kichwa kimekomaa
    Jinsi ya kulima kabichi (cabbage) kwa mafanikio
  • vitunguu saumu vizima na punje zake baada ya kuvunjwa 02
    Kilimo cha vitunguu saumu Tanzania: Uzalishaji, Masoko na Faida
  • Uvunaji wa viazi mviringo
    Kilimo cha Viazi mviringo na Faida zake kwa Wakulima Tanzania
Featured Product
Shop now
Shop now

Subscribe now!

Enter your email address below and subscribe to our newsletter

Kichwa cha alizeti kabla ya kukomaa

Kanuni za Kilimo Bora cha Alizeti Tanzania

March 27, 2018

Kilimo cha Matikiti Maji: Masoko na fursa za kibiashara

October 17, 2016
shamba-la-mpunga

Kilimo cha Kisasa cha Mpunga

March 1, 2017
Shamba la vitunguu

Jinsi ya kufanya Kilimo cha Vitunguu Maji kitaalam

June 11, 2016
Mahindi

Kilimo cha Kisasa cha Mahindi

September 2, 2016

Trending now

Kichwa cha alizeti kabla ya kukomaa
Kanuni za Kilimo Bora cha Alizeti Tanzania
Kilimo cha Matikiti Maji: Masoko na fursa za kibiashara
shamba-la-mpunga
Kilimo cha Kisasa cha Mpunga
Shamba la vitunguu
Jinsi ya kufanya Kilimo cha Vitunguu Maji kitaalam

Subscribe to Latest News

Consectetur eget cras neque augue malesuada urna urna hendrerit tellus.

Opening Hours

  • Mon - Fri 9AM - 8PM
  • Sat - Sun 10AM - 5PM

Social Media

“Beware of little expenses, a small leak will sink a great ship”

— Benjamin Franklin

Contact Info

  • (065) 557-0084
  • mtalula@mogriculture.com
  • Morogoro, Tanzania

Copyright © 2026 - Mogriculture TZ by Mohamed Mtalula