Kategoria Mazao ya Viungo

Fahamu siri ya mafanikio katika kilimo cha mazao ya viungo kama iliki, pilipili manga, karafuu na mdalasini. Pata miongozo ya kitaalamu kuanzia upandaji hadi soko.

Kilimo cha Binzari (Curcuma longa)

  Utangulizi Binzari kitalaam ni Curcuma longa na kwa kiingereza ni turmeric. Asili ya kilimo cha binzari ni Mashariki ya Mbali, na binazari inalimwa zaidi katika mkoa wa Tanga, Kagera, Kilimanjaro, Morogoro na Zanzibar. Binzari hutumika kwa mapishi ya nyama,…