Category Mboga mboga na matunda

Pata elimu ya kilimo cha mboga mboga na matunda kwa tija zaidi. Mbinu za kitalu, matunzo ya miche, na udhibiti wa ubora kwa ajili ya soko la ndani na nje.