Kategoria Ufugaji wa Kuku

Mwongozo wa kitaalamu wa ufugaji wa kuku wa nyama, mayai na kuku wa kienyeji. Pata elimu ya mabanda, chakula, chanjo, na usimamizi wa biashara ya kuku.

Magonjwa ya Kuku

IIi uweze kudhibiti magonjwa ya kuku yanayotokea katika kundi lako unahitaji kufahamu dalili za jumla za magonjwa hayo. Unapoigundua moja au zaidi ya dalili za ugonjwa au wadudu chukua hatua mara moja.   Magonjwa ya kuku yapo mengi. Hata hivyo…