Kilimo cha Viazi mviringo na Faida zake kwa Wakulima Tanzania

Viazi mviringo ni miongoni mwa mazao makuu kumi ya chakula nchini Tanzania, na ni zao la tatu baada ya mahindi na mpunga kiuzalishaji. Kiasi kikubwa cha viazi mviringo kinazalishwa katika ukanda wa nyanda za juu kusini unaojumuisha mikoa ya; Njombe, Mbeya, Songwe na Iringa.

Continue ReadingKilimo cha Viazi mviringo na Faida zake kwa Wakulima Tanzania
Read more about the article Mbolea vunde [Mboji]: Jinsi ya kutengeneza, matumizi na faida zake
Unyunyiziaji wa maji katika biwi(Photo credit; the organic farmer.org)

Mbolea vunde [Mboji]: Jinsi ya kutengeneza, matumizi na faida zake

Mbolea vunde [mboji] ni aina ya mbolea ya asili yenye rangi nyeusi na harufu nzuri ya kidongo ambayo hutokana na kuoza kwa mchanganyiko wa masalia ya mimea kunakosababishwa na vijidudu na wadudu rafiki wa mazao. Hii inaweza kutengenezwa kwa urahisi sana nyumbani.

Continue ReadingMbolea vunde [Mboji]: Jinsi ya kutengeneza, matumizi na faida zake

Kanuni 12 za kilimo bora chenye tija Tanzania

Kanuni za kilimo bora ni seti ya miongozo au taratibu za kisayansi zilizofanyiwa majaribio kwa muda mrefu na ambazo zimekubalika zitumike katika kuboresha uzalishaji wa mazao. Kanuni za kilimo bora ni muhimu sana katika kuhakikisha kilimo kinakuwa na tija na kusaidia kuboresha maisha ya wakulima na jamii kwa ujumla.

Continue ReadingKanuni 12 za kilimo bora chenye tija Tanzania