Jinsi ya kulima kabichi (cabbage) kwa mafanikio
Ni rahisi kulima kabichi na ina mzunguko mfupi wa ukuaji, kwa kawaida hukomaa ndani ya miezi 3 hadi 4, na kuifanya kuwa chaguo la kuvutia kwa wakulima wanaotafuta faida ya haraka kwenye uwekezaji.
Ni rahisi kulima kabichi na ina mzunguko mfupi wa ukuaji, kwa kawaida hukomaa ndani ya miezi 3 hadi 4, na kuifanya kuwa chaguo la kuvutia kwa wakulima wanaotafuta faida ya haraka kwenye uwekezaji.
Kilimo cha vitunguu saumu nchini Tanzania kinapata umaarufu kwa kasi kama biashara ya kilimo yenye matumaini, kutokana na ongezeko kubwa la mahitaji ya ndani na katika soko la kimataifa.
Viazi mviringo ni miongoni mwa mazao makuu kumi ya chakula nchini Tanzania, na ni zao la tatu baada ya mahindi na mpunga kiuzalishaji. Kiasi kikubwa cha viazi mviringo kinazalishwa katika ukanda wa nyanda za juu kusini unaojumuisha mikoa ya; Njombe, Mbeya, Songwe na Iringa.
Mbolea vunde [mboji] ni aina ya mbolea ya asili yenye rangi nyeusi na harufu nzuri ya kidongo ambayo hutokana na kuoza kwa mchanganyiko wa masalia ya mimea kunakosababishwa na vijidudu na wadudu rafiki wa mazao. Hii inaweza kutengenezwa kwa urahisi sana nyumbani.
Kanuni za kilimo bora ni seti ya miongozo au taratibu za kisayansi zilizofanyiwa majaribio kwa muda mrefu na ambazo zimekubalika zitumike katika kuboresha uzalishaji wa mazao. Kanuni za kilimo bora ni muhimu sana katika kuhakikisha kilimo kinakuwa na tija na kusaidia kuboresha maisha ya wakulima na jamii kwa ujumla.
Bamia ni zao linalolimwa katika maeneo mengi nchini kutokana na umuhimu wake kwenye lishe na kuongeza kipato. Baadhi ya maeneo yanayolima zao la bamia kwa Tanzania ni pamoja na mikoa ya Morogoro, Dodoma, Tabora, Pwani na Mbeya.
Katika msimu wa mvua za vuli 2019, maeneo mengi ya nyanda za juu kaskazini mashariki pamoja na pwani ya kaskazini yanatarajiwa kuwa na mvua za wastani hadi...
Zaidi ya aina 45 za mbegu za mihogo zinajulikana hapa nchini. Zaidi ya 80% ya mihogo ni ya asili. Hivyo wakulima wengi hawatumii mbegu bora za mihogo.
Kilimo cha zao la muhogo kinazongwa na changamoto ya wadudu na magonjwa ambazo huchangia kwa kiasi kikubwa kupunguza kiasi cha mavuno, na ubora wa muhogo.
Karoti ni zao la jamii ya mzizi. Karoti ni aina ya mboga mboga yenye vyanzo vingi vya calcium, iron na wingi wa vitamin B. kilimo cha karoti huhitaji ...