Aina Bora 19 za Mbegu za Mihogo
Zaidi ya aina 45 za mbegu za mihogo zinajulikana hapa nchini. Zaidi ya 80% ya mihogo ni ya asili. Hivyo wakulima wengi hawatumii mbegu bora za mihogo.
Zaidi ya aina 45 za mbegu za mihogo zinajulikana hapa nchini. Zaidi ya 80% ya mihogo ni ya asili. Hivyo wakulima wengi hawatumii mbegu bora za mihogo.
Kilimo cha zao la muhogo kinazongwa na changamoto ya wadudu na magonjwa ambazo huchangia kwa kiasi kikubwa kupunguza kiasi cha mavuno, na ubora wa muhogo.
Karoti ni zao la jamii ya mzizi. Karoti ni aina ya mboga mboga yenye vyanzo vingi vya calcium, iron na wingi wa vitamin B. kilimo cha karoti huhitaji ...
Viwavi jeshi hushambulia aina za mimea/mazao zaidi ya 80. Hupendelea zaidi mimea jamii ya nafaka kama mahindi, mtama, mpunga, ngano na miwa na mbogamboga.
Kabla ya kupanda, mbegu ya mpunga inatakiwa kuandaliwa vizuri ili kuirahisishia kuota kwa kiwango kizuri ili mkulima apate miche bora ya kupandikiza baadae.
Viuatilifu ni sumu inayotumika kuua, kuangamiza, kufukuza, au kuzuia visumbufu katika mimea.Visumbufu vya mimea vyaweza kuwa wadudu, fangasi, magugu, ...
Tatizo la nyanya kuoza kitako ni hali ya kifiziolojia inayosababishwa na uchache wa au mmea kushindwa kufyonza madini ya chokaa (Calcium) kwenye udongo ...

Ili kudhibiti panya waharibifu wa mazao inashauriwa kutumia mbinu za aina tofauti kwa wakati mmoja ili kuongeza ufanisi wa kuwadhibiti. Chakufanya ni ...
Panya ni wanyama wadogo jamii ya mammalia walio katika familia/kundi linalotambulika kitaalamu kama Muridae wenye meno…